Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Misheni 300 ni kichocheo cha maendeleo ya nchi za Afrika na kichocheo cha utekelezaji wa ...
JESHI la polisi limezuia kufanyika kwa mkutano kati ya waandishi wa habari na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika. Mkutano huo ulikuwa ufanyike leo saa tano asubuhi ...