Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
Rwanda inaikalia kwa mabavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujaribu kupanga mabadiliko ya utawala, waziri wa mambo ya ...
Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii, ni pamoja na mzozo wa Jamhuri ya ...
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
Msemaji wa serikali ya Ufaransa, Christophe Lemoine amewataka wanajeshi wa Rwanda na waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na ...
Baada ya waasi wa M 23 kuingia jijini Goma Januari 26, na kusababisha makabiliano makali na wanajeshi wa serikali FARDC, ...