Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii, ni pamoja na mzozo wa Jamhuri ya ...
Rwanda inaikalia kwa mabavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujaribu kupanga mabadiliko ya utawala, waziri wa mambo ya ...
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
M23 imepigana kwa miaka mingi kudhibiti migodi yenye utajiri mkubwa wa dhahabu na platinamu inayopatikana mashariki mwa DRC, ...
卢旺达支持的刚果反政府武装占领该国东部最大城市戈马(Goma)后,星期四(1月30日)表示计划将战斗推进至刚果民主共和国首都金沙萨,有意展示其治理能力。对此,刚果总统费利克斯·齐塞克迪(Félix ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Kiongozi wa Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema baada ya kuukamata mji wa Goma, wataendelea na mapigano hadi mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.