CONGO : WANAJESHI  wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakisaidiana na jeshi la Burundi, wamefanikiwa kufanya ...
Rais wa Burundi ameonya kwamba mzozo unaoendelea kuongezeka mashariki ya DRC huenda ukawa wa kikanda. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, waliripotiwa kuinga katika Mji Mkuu wa Kivu ...
Insiguro y'isanamu, Ingabo z'u Burundi ziri mu butumwa bwa EACRF nizo zigomba kugenzura ibice by'i Masisi biteganyijwe ko M23 izarekura 23 Ukwa gatatu 2023 I Masisi, ingabo z’u Burundi nizo ...
WAASI wa M23 jana Januari 29 wameendelea na mashambulizi baada ya kuuteka Mji wa Goma huku wakielekea Bukavu Mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini, katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Vikosi vy ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeendelea kuibua mvutano mkubwa kati ...
M23 imepigana kwa miaka mingi kudhibiti migodi yenye utajiri mkubwa wa dhahabu na platinamu inayopatikana mashariki mwa DRC, ...