Kufanya hivyo ni kosa kwa mujibu wa Sheria namba 11 ya mwaka 2022 ya ulinzi wa taarifa binafsi huku adhabu yake iwapo shauri ...
Kipa wa Yanga, anayedakia Singida Black Stars kwa mkopo, Amas Obasogie ni miongoni mwa wachezaji walioitwa katika kikosi cha ...
Wakati joto la uchaguzi mkuu 2025 likiendelea kupanda ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na ...
“Siti hazikuwa katika ubora, idadi ya abiria ilikuwa kubwa kuzidi uwezo wa siti. Migogoro ikawa mingi. Tunaanza safari ...
Alidai kuwa, aliuza mali za chama hicho na baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2020, alifanya ushawishi kwa Rais ili ateuliwe kuwa ...
Mkutano huo unatarajia kukutanisha washiriki zaidi ya 1,000, wakiwemo watunga sera, viongozi wa Serikali kutoka nchi ...
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Geita umewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani humo kuvunja ukimya, na ...
Kwa mujibu wa taarifa mkarafuu mmoja unatoa wastani wa kilo 15 za karafuu. Kwa mikarafuu 50 ni takriban kilo 750 za karafuu ...
Mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji uliokuwa uchezwe Februari 15, 2025 sasa utachezwa Machi 14, 2025 katika Uwanja wa KMC ...
Shinyanga. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro amesema Serikali itashirikiana na Kanisa Katoriki kumsaidia mtoto wa ...
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyohusisha malori mawili yaliyogongana na kuwaka moto mkoani hapa, imeongezeka na ...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro ametangaza kiama kwa watumishi wa umma wanaosababisha migogoro mbalimbali ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果