WAASI wa M23 jana Januari 29 wameendelea na mashambulizi baada ya kuuteka Mji wa Goma huku wakielekea Bukavu Mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini, katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Vikosi vy ...
Rais wa Burundi ameonya kwamba mzozo unaoendelea kuongezeka mashariki ya DRC huenda ukawa wa kikanda. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, waliripotiwa kuinga katika Mji Mkuu wa Kivu ...